Loading...

B2B
FAQs
Remittances
Wakala





Ukiwa na Unipesa



Google Play
 
App Store

Scan QR code hii kupakua app ya Unipesa kwenye simu yako.


Our

key figures

300+

Agents

14,000+

Customers served

TZS 5M+

Transactions per day




Kwanini Unipesa ?


 Floti Moja / Mtaji mmoja
Badala ya kuwa na salio tofauti kwa kila kampuni (kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa, benki n.k), wakala anahitaji tu Floti moja / mtaji mmoja tu ndani ya Unipesa. Mfumo huu huutumia kwa miamala yote bila kuhangaika na ukosefu wa salio kwa mteja yeyote.

➡️ Matokeo yake ni Ufanisi mkubwa, huduma bora kwa wateja, na ongezeko la mapato kwa kufanya miamala mingi zaidi.
 Ufanisi wa taarifa
Unipesa inatoa Taarifa za kina za miamala yote ya mobile money na benki, jambo linalomwezesha wakala kufuatilia kwa urahisi utendaji wa biashara yake kwa siku, wiki na mwezi.

Hii inamsaidia kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara, kupanga mikakati ya ukuaji, na kupata uwazi kamili wa mapato yake kutoka kwenye kila chanzo – iwe ni kupitia wallet, benki au huduma za kutuma pesa.

Hudumia wateja wako kupitia floti moja tu, Anza sasa



Google Play
App Store


OUR PARTNERS

Tembo and Beem Africa are strategic partners of Unipesa, facilitating seamless transactions and expanding the reach of our services.



FAQs

Haya ni miongoni mwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara na wateja wetu wanapotumia huduma zetu. Huenda yakakusaidia kwa namna moja au nyingine kuelewa unachopitia.

Uwekaji floti kwenye akaunti ya wakala unafanyika kupitia banks na mawakala wa CRDB. Nenda ukiwa na kiasi taslimu pamoja na namba ya akaunti yako ya uwakala.

Ili kuwa wakala wa Unipesa, utahijaka kua na nyaraka kama vile Nida number, leseni ya biashara kutoka ngazi yoyote ikiwa ni Brela au Halmashari pamoja na kopi ya TIN kutoka TRA. Pakua APP sasa uanze usajili

Google Play
 
App Store

Kamisheni ya wakala wa unipesa hulipwa kila mwisho wa mwezi (siku 28 - 30), Malipo haya kutokana na miamala aliyofanya wakala husika.




© 2025 Unipesa Inc


Security policy

Renti - Terms & Conditions

Effective Date: [Insert Date]

Welcome to Renti! These Terms & Conditions ("T&C") govern your use of Renti’s installment payment platform, including setting up personal savings goals and making payments toward business debts. By registering and using Renti, you agree to comply with these terms.

1. Introduction

Renti is a financial service platform that helps users achieve personal financial goals or pay off debts related to businesses registered under Renti’s B2B network...

2. Definitions

3. Eligibility

To use Renti, you must...

4. Account Registration and Security

You must create an account on Renti, providing accurate details...

5. Services

5.1 Personal Financial Goals: Users can set up financial goals, defining the amount...

6. Withdrawals and Cancellations

Withdrawals: Users can withdraw their funds once their goal is reached, or they can withdraw early...

7. Fees and Charges

Renti may apply certain fees for using its services...

8. Refund Policy

In the event of a cancellation of the goal or installment plan, Renti will refund the amount saved...

9. Security

Renti employs encryption and secure technologies to protect users' personal and financial data...

10. Limitation of Liability

Renti is not liable for any indirect, incidental, or consequential damages arising from your use of the platform...

11. Changes to Terms

Renti reserves the right to modify these T&C at any time...

12. Governing Law

These T&C are governed by and construed in accordance with the laws of [Insert Country]...

13. Contact Information

For any questions regarding these Terms & Conditions, please contact us at:

Privacy policy
...
Refund policy
...
Careers
...
Credit policy
...
Terms of service
...
About Us
...